Na Hosea Mchopa #UO 1
Cristiano Ronaldo
ameweka rekodi binafsi kwa kufunga magoli matano kwa mara ya kwanza tangu
ahamie real Madrid katika ushindi wa bao 9 vs Grananda
#hii ni kwa ajili yako.
Rekodi kali
ambayo ameiweka Ronaldo Hat trick yake imechukua dakika 8 alianza kufunga dakika ya
30,36 na 38.
Ronaldo tayari
ana hat trick tano huu msimu na magoli yake manne aliyofunga jana yana rekodi ya kipekee kufungwa haraka zaidi ndani
ya dakika 24 tu.
Pia Ronaldo
ameweza kumkuta Lionel Messi kwa kufunga hat tricks 24.
Hii ndio orodha ya waliofunga hat trick nying la liga
Cristiano Ronaldo (24)
Lionel Messi (24)
Telmo Zarra (22)
Alfredo Di Stefano (22)
Ushindi wa bao
9-1 waliopata dhidi ya timu ya Granada ambayo inashika nafasi ya 19 ni mkubwa
tangu wawafunge Real Sociedad idadi ya magoli kama hii mkwa 1967 septemba.
Ushindi wao
mkubwa Real madrid
Real Madrid 11-1
Barcelona 1934
Real Madrid 11-2
Elche 1959-60
0 maoni:
Chapisha Maoni