Na Hosea Mchopa #UO 1
![]() |
Familia nzima ya Kim Kardashian wakitoka kanisani |
Katika vitu muhimu ambavyo Kim Kardishian anavithamini ni Familia yake ambayo pia inaendelea kumweka juu kupitia kipindi cha Keep up with Kardashians.
Kim na familia yake
Sikukuu ya Pasaka ilikuw ani ya kipekee katika familia yao kwani waliweza kutoka pamoja na kwenda kuabudu kanisani huko West Hills katika kanisa la San Fernando Valley.
Kim Kardashian,Norh na Kanye West
Kylie Jenner mwenye miaka 17 alikuwepo sambamba na Tyga ambaye amekuwa akihusishwa kuwa naye katika mahusiano.Tyga alikuja na mwanawe mwenye miaka 2 King Cairo.
Kylie Jenner,Tyga na mwanawe King Cairo
Kim Kardishian aliambatana na mumewe Kanye West pamoja na mtoto wao North.
Huku mama Kris Jenner alikuja na mpenzi wake Corey Gamble amabo nao walitengeneza fahari ya macho siku hiyo.
Kilichovutia zaidi ni rangi nyeupe ambayo familia nzima ilipanga kuwa ndio italkayo tumika siku hiyo na kufanya waonekane zaidi.
Kylie Jenner,Kendall Jenner na Khloe Kardashian wakielekea kanisani
0 maoni:
Chapisha Maoni