MTOTO AKILILIA WEMBE MPE NI MSEMO WA KISWAHILI HUU ILA KATIKA NCHI UINGEREZA UMETUMIKA KWA SASA .


DIMITRI PAYET AMEISUMBUA SANA KLABU YA WEST HAM HADI KUFIKIA HATUA YA KUKATAA MAZOEZI YA KLABU HIYO.


Dimitri Payet amecheza dakika 1515 msimu huu katika mechi 17 za EPL

KLABU HIYO IMEFANYA UAMUZI MGUMU BAADA YA KOCHA SLAVEN BILIC KUZUNGUMZA WAZI KUWA WANAMUHITAJI PAYET ILA YEYE HATAKI KUICHEZEA WEST HAM KWA SASA.
Payet amezaliwa ukanda wa bahari ya Hindi katika kisiwa cha Réunion

KLABU YA WEST HAM ILIKATAA PAUN M 20 NA NYONGEZA YA PAUN M 2.5 KUTOKA KWA MARSEILLE WAKIAMINI HAWATOWEZA KUMUUZA PAYET KWA SASA.
Dimitri Pyaet mechi ya kwanza katika timu ya taifa ya ufaransa chini ya miaka 21 alitengeneza pasi ya goli kwa Jeremy Menez

NYOTA HUYO ANATAARIFIWA ANATAKA KUREJEA NYUMBANI MARSEILLE ALIKOUZWA PAUN M 10.7 KUJA WEST HAM TAREHE 26 JUNE 2015.


NA SASA WEST HAM WANATAMBA KUWA THAMANI YAKE IMEONGEZEKA KWA PAUN M 30 NA KUFIKIA PAUN M 40.

MPAKA SASA BILONEA WA MAREKANI FRANK Mc COURT YUKO TAYARI KUONGEZA DAU HADI PAUN M 30 TU.

Slaven Bilić aliingoza Croatia kushika nafasi ya 3 kombe la dunia mwaka 1998





0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Top