NI SIKU YA KIPEKEE KATIKA MAISHA YA RAFAEL NADAL BAADA YA KUTIMIZA NDOTO YAKE YA KUTINGA FAINALI YA GRAND SLAM KWA MARA YA KWANZA TOKA AFANYE HIVYO MWAKA 2014.

HAKIKA HAKUNA MCHEZO MGUMU ALIOWAHI KUKUMBANA NAO KATIKA MWAKA 2017 KAMA DHIDi YA MBULGARIA GRIGORY DIMTROV AMBAYE ALIIONYA DUNIA KUWA YEYE NI MOJA YA WACHEZAJI BORA ULIMWENGUNI KATIKA MCHEZO HUO BAADA YA KUMKOSESHA RAHA RAFAEL NADAL.

RAFAEL NADAL ALISHINDA KWA 6-3 AKACHAPWA 5-7 AKASHINDA 7-6 AKACHAPWA 6-7 NA KUSHINDA KWA 6-4 MCHEZO MKALAI ULITUMIA SAA 5 NA DAKIKA 56.

RAFAEL NADAL KATIKA MCHEZO HUO ALIONEKANA KUFANYA MAKOSA MENGI YA KIZEMBE NA KUSHINDWA MARA NYINGI KUTUMIA ADV PALe ALAMA ZILIPOSOMEKA 40-40 YAANI DEUCES.


SASA ATAKUTANA NA ROGER FEDERER KATIKA MCHEZO WA FAINALI YA AUSTRALIAN OPEN ITAKUWANI MARA YA 35 KUKUTANA NA NADALI AKISHINDA MARA 23 DHID YA 11 ZA ROGER.


MWAKA 2008 KATIKA MASHINDANO YA WIMBLEODN RAFAEL NADAL ALIKUTANA NA ROGER FEDERER WAKATI KWA WANAWAKE VENUS WILLIAMS ALIKUTANA NA MDOGO WAKE SERENA WILLAIMS.


KATIKA FAINALI HIYO RAFAEL NADAL ALISHINDA KWA WANAUME NA KWA WANAWAKE VENUS WILLIAMS ALISHINDA TAJI.



HII ITAKUW AMARA YA KWANZA KWA WACHEZAJI HAWA KUKUTANA WAKIWA WAMEGUSA UMRI WA 30.

MAELFU WALISHUHUDIA MCHEZO HUO MELBOUNE PARK KATIKA UWANJA WA ROD LAVER
27 Jan 2017

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Top