MCHEZAJI WA REAL MADRID CRISTIANO RONALDO AMEMUA KUONESHA UANAUME WAKE NJE YA SOKA BAADA YA KUMFANYIA MAKUBWA MPENZI WAKE GEORGINA RODRGUEZ KATIKA SHEREHE YAKE YA KUZALIWA .

Cristiano Ronaldo akikaribia mghahawa wa Tatel na mwenza wake Georgina Rodriguez

Georgina Rodriguez na Cristiano Ronaldo wakiingia Tatel kupata mlo wa usiku

RONALDO AMBAYE AMAEANZA KUREJESHA MAKALI YAKE KATIKA LA LIGA AKIPACHIKA BAO KATIKA MCHEZO WALIOPATA USHINDI DHIDI YA REAL SOCIEDAD NA KUSOGEA KILELENI KWA ALAMA 4 DHDI YA BARCELONA.
Ronaldo akishangilia goli

RONALDO ALIAMUA KUIFANYA SiKU HIYO KUWA TOFAUTI KWA MPENZI WAKE KWA KUKATA VIUNGA VYA JIJI LA MADRID NCHINI HISPANIA NA KUTUA KATIKA MGHAHAWA TATEL KUMSHANGAZA KIPENZI CHAKE KAMA ANAVYOWASHANGAZA WAFIA SOKA AKIWA DIMBANI.
Georgina Rodriguez tayari yuko karibu sana na familia ya Ronaldo hapa akiwa uwanjani na mtoto wa Ronaldo na mama yake Ronaldo Maria Dolores dos Santos Aveiro

Mwanzoni mwa mwaka 2017 wafuasi wengi wa mchezaji huyo ndio wameanza kumuona nyota huyo akiwa hadharani na mpenzi wake mpya baada ya muda mrefu wa ukimya

RONALDO BAAADA YA KUACHANA NA IRINA SHAYK MWANAMITINDO ALIHUSISHWA NA KUZAMA KATIKA MAHUSIANO NA KRISTINA PERIC.

KRISTINA PERIC ALIWAHI KUSEMA CHANZO CHA YEYE KUONANA NA RONALDO NI BAADA YA MTU WA KARIBU WA MCHEZAJI HUYO KUMFANANISHA NA IRINA SHAYK HIVYO KUAMUA KUMTAMBULISHA KWA MCHEZAJI HUYO.
Kristiana Peric ambaye anafanana na Irina Shayk mpenzi wa zamani wa Ronaldo

Cristiano Ronaldo akiwa na mpenzi wake wa zamani mwanamitindo Irina Shayk ambaye anafanana na Kristina Peric

LAKINI SASA NI UHAKIKA UPENDO WAKE UMEANGUKIA KWA GEORGINA RODRIGUEZ AMBAYE AMEKULIA JACCA HUKO HISPANIA NA AKIISHI DUNIANI KWA MIAKA 21 TU.

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Top