NCHI YA TANZANIA IMEPOROMOKA KWA NAFASI 5 KATIKA VIWANGO  VIPYA VYA UBORA VYA SHIRIKISHO LA SOKA DUNIANI FIFA NA HIVI SASA IKIKAMATA NAFASI YA 147 NA HIVYO KUWA YA PILI MKIANI KATIKA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI .

UGANDA AMBAYO NDIO YA KWANZA KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI NA YA 15 KATIKA BARA LA AFRIKA IMESHUKA KWA NAFASI MOJA NA KUSHIKA NAFASI YA 75 KWA DUNIA HUKU NCHI YA KENYA IKIFANIKIWA KUPANDA KWA NAFASI 7 NA INAKAMATA NAFASI YA 106.

NCHI YA RWANDA IMEKATA NAFASI YA 113 BAADA YA KUPANDA KWA NAFASI 7 NA YA NNE KWA AFRIKA MASHARIKI NI NCHI BURUNDI WAKIKAMATA NAFASI YA 142 INGAWA IMESHUKA NAFASI 4.

NA NCHI INAYOKAMATA MKIA KWA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI  NI SUDANI YA KUSINI INAYOKAMATA NAFASI YA 153 IKISHUKA KWA NAFASI MOJA.

NA HIZI NI NCHI 10 BORA ZA AFRIKA NA NAFASI ZAO KATIKA VIWANGO VYA DUNIA

1.SENEGAL KIUJUMLA NAFASI YA 23
2.TUNISIA KIUJUMLA NAFASI YA 27
3.MISRI   KIUJUMLA NAFASI YA 31
4.CONGODR KIUJUMLA NAFASI YA 39
5.MOROCO  KIUJUMLA NAFASI YA 40
5.BURKINA FASO     NAFASI YA 44
6.CAMEROON          NAFASI YA 45
7.GHANA   KIUJUMLA NAFASI YA 50
8.NIGERIA  KIJUMLA NAFASI YA 51
9.ALGERIA  KIUJUMLA NAFASI YA 58
10.IVORY COAST     NAFASI  YA 61 
21 Dec 2017

0 maoni:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top