Na Hosea Mchopa #UO 1
Bondia Floyd Maywether ameendelea
kuonesha kiburi cha hali juu katika pesa alizonazo
Mouthpieces yake ina thamani ya
dola 25,000 kutoka kwa dr Lee Gause wa NYC maarufu wa utengenezaji wa vifaa maalumu vya
kulinda mdomo wakati wa ndondi .
Amesema kuwa gharama imekuwa
kubwa zaidi kutokana na Maywether kutaka mouthpieces zenye malghafi za dhahabu.
Maywether mwenyewe ameonekana
kufurahia huduma ya daktari lee na kusema mouthpieces zake zinamfanya apumue
vizuri kulikoni zozote.
Pamoja na kupambana takribani
miaka 19 bado Maywether anadai mouthpieces za daktari lee gause zimeweza
kutunza tabasamu lake.
Flyod Joy Sinclair Maywether
Jr alizaliwa mwaka 1977.Ni bondia wa
kimarekani
0 maoni:
Chapisha Maoni