#UO 1
Mwanadada mrembo ambaye kwa hivi sasa anafahamika kama mama
North ameonekana kama haitaji kuongeza mototo mwingine baada ya North West.
Pamoja na awali kusemekana Kim alikuwa anakutana na mume
wake Kanye West mara mia 500 kwa siku ili apate mototo sasa hivi haitaji kutumia
jitihada zozote kupata mototo.
Kim Kardashian kupitia kipindi cha keep up with kardashians
alimwambia mdogo wake Kendall Jenner mwenye miaka 19 kuwa alikuwa anachukia kuwa
mjamzito na hakufikiria kabisa kama atakuja kubeba ujazito.
Kim anaonekana kutohitaji mototo mwingine baada ya kusema
kujaribu mtoto wa pili hakufarahishi kama kujaribu kumpata mototo wa kwanza.
0 maoni:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.