Na Hosea Mchopa #UO 1

 King Ba mpenzi wa mwanadada Nia Guzman ambaye amezaa na Cris Brown binti aitwaye  Royality.
Royality akiwa na wazazi wake Nia,Cris Brown
#hii ni kwa ajili yako


Taarifa zikufikie kuhusu King Ba ambaye alimwacha Guzman baada ya kutambua kuwa mtoto akiyemlea si wake bali ni mtoto halali wa Cris Brown.

Sasa King Ba ameonekana kupotezea maneno juu ya mrembo wake Nia  kutoka nje na kuzaa na Cris Brown na kuamua kukubali kuwa baba wa kambo wa Royality.
Cris brown,Nia Guzman na mtoto wao Royality


King Ba ametuma picha akiwa amepozi na Royality na kuandika  ujumbe “Been a Dad Still a Dad….Minus All the Nonsense That Been Going On We Still kick it.
King Ba akiwa na Royality


King Ba anaona si tatizo kubwa kwa yeye kuendelea kuwa baba wa kambo wa Loyality,kwani hapo awali alikuwa baba wa royality tena akiamini ni damu yake.


Ba,Nia Guzman na Loyality walishereka pasaka pamoja na kuonyesha kuwa bado karibu wa wapenzi hao unaendelea pamoja na Cris Brown kutambulika kuwa ndie baba halali.
07 Apr 2015

0 maoni:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top