Na Hosea Mchopa #UO 1
Na Hosea Mchopa #UO 1
Manchester City hadi sasa imepoteza michezo minne
ya ugenini baada ya mwamuzi Michael Oliver kupuliza kipyenga huku city ikiwa
imelala mbele ya mashabiki 24,718 hapo jana.
![]() |
Nahodha wa Man City Vincent Company |
Klabu ya Manchester city
imeendelea kuwapa wakati mgumu mashabiki wake kwa kukubali kichapo cha goli 2-1
didi ya klabu ya crystal palace ambayo inashika nafasi ya 11.
Palace walipata bao la kwanza
dakika ya 34 likifungwa na Murray
kabla ya ya Puncheon kufunga la pili dakika ya 48.
![]() |
Murray akifunga bao la kwanza dakika ya 34 |
![]() |
Puncheon akishangilia bao la pili |
Yahya Toue alifunga bao pekee
dakika ya 78 kwa upande wa Manchester City.
No 1
|
30
|
37
|
70
|
|
No 2
|
31
|
30
|
63
|
|
No 3
|
31
|
27
|
62
|
|
No 4
|
31
|
33
|
61
|
|
No 5
|
31
|
9
|
54
|
|
No 6
|
31
|
5
|
54
|
|
No 7
|
31
|
20
|
53
|
|
No 8
|
31
|
-2
|
46
|
|
No 9
|
31
|
2
|
42
|
|
No 10
|
31
|
-4
|
42
|
0 maoni:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.