Na Hosea Mchopa #UO 1
Mwanamitindo na mwanamuziki wa Pop kutoka nchini Cameroon
Dencia amemshutumu vikali kinara wa uigazaji wa Afrika mshindi wa tuzo ya oscar Lupita Nyongo kwa kuwa
kimya kuhusu tukio la uagaidi lililofanyika katika chuo cha Garissa nchini
Kenya.
![]() |
Lupita Nyongo na Decen |
#hii ni kwa ajili yako
Dencen akitumia ukrasa wake wa Instragram alionyesha
alivyoumizwa na ugaidi huo uliochukua roho za wanachuo 148.
Amelaumu pia kwa ujumla washehereshaji wengi hawajisamama
kwa umoja na kupigia kelele jambo kama nchi nyingine zinazofanya au kama mabara
mengine wanavyofanya.
Ametolea mfano nchi kama Ufaransa
,wanasiasa,washehereshaji,wanachi huongea kwa pamoja na inaleta umoja na
hamasa.
Mlimbwende huyu ambaye anayejishuhulisha pia na upande wa filamu alisema kuwa lupita Nyongo alitakiwa awe mtu wa kwanza kuongelea jambo hilo.Na angepaswa
kuita hata waandishi wa habari kuongea nao kutokana na nguvu yake.
Sababu kubwa ya Dencen kumshutumu Lupita ni kwa sababu Kenya ndio nchi anayotoke
0 maoni:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.