Na hosea mchopa
Katika uwanja wa
Karume jijini Dar
es salaam klabu ya wanachi yanga african inafanya mazoezi
makali ikiwa na
wachezaji wapya thaban
kamusoko kutoka zimbwabwe na Vincent
Bousou kutoka togo.
ujumbe online imewanasa
baaadhi ya wachezaji na makocha
na tutakuletea exclusive
interview zao.
huyu hapa juma abdul
beki hatari
beki wa klabu yanga
juma abdul amefurahishwa na mazoezi ya klabu ya yanga
kuwa ni mazuri kuelekea
mchezo wao wa
ngao ya hisani.
juma abdul pia
amesema kilichosabibisha klabu
ya yanga kupoteza katika
michuano ya kagame sio ubaya wa
timu bali klabu
hiyo haikukaa pamoja
muda mrefu.
amesema itafika muda
kikosi kitazoeana na kitaweza kufanya kazi
kama msimu uliopita.
0 maoni:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.