FASHENI
NJE YA UWANJA

Na Hosea Mchopa 

Maisha ya soka ni ya kipekee sana kwa wachezaji wa mpira,huwa ni mapambano ambayo wanayatamani kwa muda mwingi.

Lakini kuna wakati hufika wacezaji wanatamani wawe katika uhalisia waupendao na kufanya mambo yao kama vijana wengine.

Leo tutaanza kuangalia baadhi ya wachezaji nyota wakiwa na vazi la fulana\shati na jeans na kuwa huru katika mitaa mbalimbali.

Inapendeza na bahati kubwa sana kuwafuma wakiwa kwenye matembezi yao.

Pamoja na umaridadi wao uwanjani,pia kwenye mavazi wako vizuri sana wakichagua jeans ambazo ziko kwenye wakati na viatu vinavyowika kwa vijana.

#UO Kwa kuanza na FASHENI NJE YA UWANJA leo inakuleta wachezaji wanne ambao wako vizuri kwenye mavazi wakiwa nje ya uwanja.

CRISTIANO RONALDO
Anapenda sana ulimwengu wa mitindo akijua ni mchezaji mwenye mvuto haswa kwa mashabiki katika upande wa mwonekano.

Wazza aliwahi kusema Ronaldo anapenda kioo kuliko kawaida hii haishangazi kuona ni mtu anayejali mwonekano wake nje na ndani ya uwanja.

Siri yake nyingine kubwa anapenda kutoka na mastaa wa kike waliokuwa katika tasnia ya mitindo hivyo hufanya kuja zaidi kile akifanyacho.

Aliwahi kuwa karibu sana na Kim Kardashian kipindi yupo mikononi mwa Reggie Bush.Mpenzi wake Irina aliyeachana nae hivi karibuni nae ni mwanamitindo.



WAYNE ROONEY


MARIO BALOTELLI


NEYMAR JUNIOR


09 Apr 2015

0 maoni:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top