Na hosea Mchopa #UO 1
Bado dunia itaendelea
kupata simulizi nyingi zinazoteka hisia kuhusu Mtoto wa msanii nguli na mkongwe wa muziki wa rnb marehemu Whitney Houston Bobbi Kristina.
#Hii ni kwa ajili yako
![]() |
Nick Gordon na Boby Brown |
Bado kuna hali ya
kupishana kwa kauli kati ya mpenzi wa Bobbi ambaye anafahamika kwa jina la Nick
Gordon na baba mzazi Bobby Brown.Na sasa mambo yamezii kuwa wazi kuwa familia bado imeshika kamba kumzuia asiweze kumuona mpenzi wake.
Robert Barisford Brown 'Bobby Brown' baba mzazi wa Bobbi Kristina na mzazi pekee aliyeabaki. Ameweka wazi kupitia kwa mwanasheria wake Chris Brown kuwa Nick
Gordon anataka aonekane msafi kwa jamii tu lakini ukweli mpaka sasa Gordon hajaweka wazi ilikuwaje mpaka mtoto wake Bobbi Kristina kupata matatizo.
Gordon ambaye amesema
mwanzoni alifanya jitahada binafsi za kuweza kuonana na mpenzi wake lakini
baada ya kushindikana ameamua kutumia jamii kueza kufikisha ujumbe wake kwa
familia hiyo.
Gordon ameweka ujumbe twitter
ambao anahitaji kuruhusiwa kuweza kuonana na Bobbi Kristiana na kumuonya kuwa
Bobby kuwa mwanaye atamchukia akija kupata nafuu akijua alimzuia kumuona.Gordon katika ujumbe huo ameonekan kuwa anahitaji kila ambacho mwanaume anahitajika kufanya kuweza kumuokoa mpenzi wake.
Ujumbe wa Gordon
"Man to man I love
your daughter ... I don't know why you won't let me see her ... Your
daughter is going to hate you when she wakes up. It's not like you know
her anyways. What's her favorite color? What's her favorite smell,
movies, food. You don't know. I forgive you she won't."
Bobby Brown aliyezaliwa
februari 5 mwka 1969 na kutamba duniani kwa uwezo wake mkubwa wa kufanya muziki
wa rnb na kuigiza yupo katika wakati mgumu kutokana hali mbaya ya binti wake.Hivi sasa ametobolewa katika koo ili aweze kupumua baaa ya mitambo kushindwa kufanya kazi huku baadhi ya viungo vyake vikishindwa kabisa kufanya kazi.
0 maoni:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.