Na hosea Mchopa #UO 1

Wakati vijana wakitanzania wengi wetu tunaanza kuona mwanga wa maisha yetu tukiwa na umri wa miaka 25 baada ya kumaliza mzunguko mrefu wa elimu na kupigana kupata kazi maofisi.Kwenye umri huu angalau tunaanza kuhisi tunaweza kufika sehemu Fulani.

Hii ni yako #UO
Dunia ipo tofauti sana kama pande za dunia zilivyo kila upande una hali yake ambayo inafanya kuwa dunia ya kwanza au la.Kwa wenzetu mfumo wa maisha upo tofauti sana kwa asilimia kubwa ya vijana kuweza kutambua atakuwa nani na kuanza kula matunda yake mapema.

Kylie Kristen Jenner amezaliwa agosti 10 mwaka 1997 na binti mdogo ambaye anaweza  kuongeza misumari ya moto kwa vijana wengi wa kitanzania ambao wanamzunguko mrefu wa mfumo wa elimu kuweza kufanikiwa kimaisha kutokana na taarifa mpya ambayo #UO inakuletea.


Kylie Jenner mwanamitindo na ndugu wa mwanamitindo maarufu Kim Kardishian amenunua nyumba mpya yenye thamani ya dola million 2.7 .


Nyumba ambayo inakila kitu cha daraja la juu kwa binti mdogo mwenye miaka 17 kuweza kumiliki kwa kutumia kipaji na mfumo laini wa kutoka kimaisha wa Marekani umemwezesha kufanikisha hili.


Kwa kuweza kuendesha   glee: The 3D concert movie na The twilight saga ,2014 much music vieo award kumeendeleza nyota ya safari ya mafanikio katika maisha yake ya sanaa

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Top