Na Hosea Mchopa #UO 1

Kutoka Frolida Marekani Denis Blake Mwalimu mkuu Mstaafu amekamatwa akijaribu kutaka kufanya mapenzi ya kinyume na maumbile ni kijana mdogo wa kiume ambaye ana miaka 15.

Blake ambaye alinaswa kirahisi alisafiri kutoka Indiana kwenda Frolida baada ya mazungumzo yao kupitia mtandaao kupamba moto hivyo walikuwa wanakaribia kutimiza mipango yao.

Blake na kijana mdodo wa kiume walianza kutumiana ujumbe tangu oktoba mwaka jana na walipanga wakutane januari katika eneo la Boyton Beach Mall.


Mwalimu mkuu huyo mstaafu ambaye alihamia Delray Beach mwezi agust baada ya kustaafu kazi yake Indiana  alikamatwa kirahisi na polisi wa uchunguzi.Huku akimtumia kijana mdogo picha za ngono katika mtandao.
Mwalimu huyu kupitia ujumbe mfupi alijua wazi kuwa anacheza na hatari kubwa kama akishikwa na kitu anachotaka kufanya.
Baada ya mtego wakuitwa nyumbani na kijana mdogo ambaye mara ya kwanza alijitambulisha kuwa ana miaka 18 wakati umri wake ni miaka 15.
Mwalimu Blake alisema siwezi kuja nyumbani kwako wewe una umri mdogo.Lakini wewe unaweza kuja hapa(Boyton Beach Mail).
Mwalimu huyu alimwambia hatari ni kubwa sana kama akigundulika hivyo hayuko tayari kujihatarisha.

Kilichowashangaza watu ni akili za mtu mzima huyu ambaye alimtumia picha ya kiungo cha uume pale alipotumia anuani na kijana mdogo.
19 Feb 2015

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Top