Na hosea Mchopa #UO 1


Dunia ya kwanza ina tofauti kubwa sana na dunia ya tatu watanzania tunayoishi lakini linapofika suala la mtoto mdogo kuingia katika uhusiano na mtu asiye rika lake tunafanana.Wote tunahisi ni kitu kisichokubalika kirahis kutazamaika.
Tyga na Kylie

Hii ni yako #UO
Katika mshindo mkubwa ambao rapa mwenye asili ya Canada Drake  aliutumia katika ujio wa albamu yake ya If you are reading this its too late ni kumkosoa rapa ambaye yupo nae katika kundi moja Young Money Tyga ni kuhusu uhusiano wake na Kylie Jenner.

Jamii kubwa ilikuwa na maswali mengi juu ya familia inayopenda umaarufu duniani The Kadarshian wanawezaje kumwacha binti mdogo kuwa na mahusiano na mtu ambaye hayuko katika rika lake.Na wapenzi wengi wa muziki walihisi Tyga hawezi kuwa sahihi kushindwa kuepukana na Kylie Jenner.

Michael Ray Nguyen Stevenson ‘Tyga’  ana miaka 25 na Kylier Jenner ana miaka 17 mapenzi yao yameleta gumzo kutokana umri wa Jeneer kuwa bado si sahihi kutoka na Tyga mwenye miaka 25.

Tyaga na Kylie Jenner


Hii ni kama kwetu Tanzania tunaamini miaka 17 ni umri ambao bado mtoto anakuwa chini ya familia hata maamuzi yake mengi tunamini yanaweza kuwa hayajaona mbali.

Chris Brown mtu wakaribu na Tyaga nae kwa upande wake ameeleza kuhusu sakata hilo kuwa pamoja na jamii kumkashifu yeye ataendelea kuwa nae karibu kama zamani.Hili jambo pia limeanza kuonesha Brown nae amebariki sakata hilo.
Criss Brown


Kauli ya Brown

"Whatever decision my man wants to make, I’m gonna rock with him. I’m not gonna fight any of his battles.
--

Kupitia redio ya 9.23 AMP Radio Tyga ameonekana wazi kutojali watu wanaongea nini kuhusu mahusiano yake kwa Kylie huku akificha kuweka wazi kirahisi kuhusu mapenzi yao.
Tyga akiongea katika 9.23 AMP Radio


Tyga akiongea AMP RADIO 9.23 akiwa na msanii Cris Brown katika kipindi kilichohusu albamu yao ya Fan Of A Fan  pamoja na kushindwa kuweka wazi moja kwa moja kuwa mapenzi kwa Kylie,amesema upendo wake kwa Kylie utazidi kuimarika.
Tyga na Cris Brown 



25 Feb 2015

0 maoni:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top