Na hosea Mchopa
Mfukuza pepo wa Jamaica Usain Bolt amesema kuwa atastaafu mchezo wa mbio mwaka 2017 baada ya mashindano ya mabingwa jijini London.

Usain Bolt inaripotiwa alipanga  astaafu baada ya mashindano ya Rio de Janeiro Brazil 2016 lakini wadhamini wake wamehitaji  ashiriki London 2017.

Usain Bolt ambaye ni bingwa wa mita 100 na mia 200 katika mashindano ya London atashiriki katika mashindano ya mita 100 pekee mwaka 2017.




Bolt ambaye mwaka 2009 Berlin aliweka rekodi ya kipekee ya kukimbia mita 100  kwa dakika 9 na sekunde 58.Anatarajiwa kushiriki katika mashindano ya mabingwa wa dunia yatakayofanyika Beijing agust 22-30.

Usain Bolt amesema kama atakuwa katika ubora wake anatarajiwa kuwa na msimu mzuri katika maisha yake.


MAFANIKIO YA USAIN BOLT
medali 6 za dhahabu za olimpiki
2008.Mita 100,200 na 400-Beijing nchin China
2012.mita100,200 na 4000 London nchini Uingereza
medali 8 za dhahabu za mashinadno ya mabingwa wa dunia
2009.MITA 100,200 na 400-Berlin
2011 mita 200 na 400 Daegue
2013 mita 200 na 400 Moscow
medali 1 ya dhahabu katika mashindano ya jumuiya ya madola
2014 mita 4*100 –Glaslow
rekod za dunia
Mita 100 kwa dakika 9 na sekunde 58

Mita 200 kwa dakika 19 na sekunde 19

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Top