Manchester united wamefanikiwa kuifunga klabu ya Liverpool
magoli 2-1 na kuwazidi point tano katika mbio za ubingwa.
#hii kwa ajili yako
Alikuwa ni mchezaji wa kihispania Juan Mata aliyepeleka matokeo
mazuri ya united kwa kupachika mabao yote mawili.
Bao la kwanza lilikuwa dakika 14 akipokea pasi kutoka kwa
Andre Herera na la pili dakika 54 baada ya kiungo wa Argentina Angel Di Maria
kumtengenezea.
![]() |
Juan Mata akifunga goli la 2 |
Daniel Sturridge mchezaji wa timu ya taifa ya uingereza
ndiye aliyefunga goli pekee dakika ya 69.
Mambo ya kuvutia.
Steven Gerrard alipewa kadi nyekundu sekunde 48 tu baada ya
kuingia kutoka benchi akichukua nafasi ya Lallana.
Kadi 16 zimetoka katika mechi walizokutana Liverpool na
Manchester united katika ligi kuu ya uingereza.
Mkongwe wa soka Porelo Negra PELE alikuwa mgeni rasmi katika
mechi hiyo.
VIKOSI VYA TIMU ZOTE
LIVERPOOL
MIGNOLET,CAN,SKERTAL,SAKHO,STERLING,HENDERSON,ALLENMORENO (66
BALOTELLI),LALLANA,(GERRAD 45),STURDGE NA COUTINHO.
MANCHESTER UNITED
DE GEA,VALENCIA,SMALLING,JONES,BLIND (ROJO 94),CARRICK,MATA,HERRERA,(FALCAO
83),FELLAIN,YOUNG (DI MARIA 55 )NA ROONEY
0 maoni:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.