Na Hosea Mchopa #UO 1
Siku zinasogea kwa haraka pale jambo linaloshika hisa za watu wengi linaposubiriwa kwa hamu.
Siku zinasogea kwa haraka pale jambo linaloshika hisa za watu wengi linaposubiriwa kwa hamu.
Katika ulimwengu ambao watu wanangoja wanaume 22 waingie
katika uwanja na kupambana ili mpira uzame wavuni.kilichokuwa kinasubiriwa kimetimia
Baada ya hatua ya 16 kumalizkia na kupata washindi.Kuanzia
tarehe 14-15 na 21-22 dunia itaendelea kufaidi utamu wa soka la ulaya.Hii ni
ratiba ya mechi za robo fainali za ligi ya mabingwa ulaya.
Paris St Germain v Barcelona
Atletico Madrid v Real
Madrid
Porto v Bayern Munich
Napoli v Wolsburg
Dynamo Kiev v Fiorentina
Sevilla v Zenit St Petersburg
Dnipro v Club Brugge
ambazo zitachezwa april 16 NA 23 april
0 maoni:
Chapisha Maoni