na Hosea Mchopa
katika ufunguzi wa michuano ya iaaf world champion beijing 2015 nchi ya eritrea
yaanza kucheka kwa kuvuna ushindi.
kijana wa miaka 19 Ghirmay
Ghebreslassie ameweka
historia tamu ya maisha hapo jana kwa kuwa kijana mdogo wa miaka 19 wa kwanza
kuweza kutwaa medali ya dhahabu ya mbio
za marathon katika iaaf.
![]() |
Ghirmay Ghebreslassie |
pia kuwa mueritria wa kwanza kufanya hivyo kutwaa medali ya
dhahabu katika iaaf world champion.
Ghirmay
Ghebreslassie alitumia masaa 2 dakika 12 na skunde 28 kumaliza mbio hizo na kubeba
medali ya dhahabu.
Yemane
Tsegay wa Ethiopia alitumia masaa 2 dakika 13 na sekunde 08 wakati Munyo Solomon Mutai wa Uganda akitumia
masaa 2 na dakika 13 na sekunde 08.
ukitaja mita 10000 huwezi kabisa kumsahau
bingwa mara nne wa michuano hiyo haile
gebreselassie ambapo miaka 16 imepita tangu aweke rekodi hiyo.
![]() |
Ghirmay Ghebreslassie |
wafukuza upepo wa kitanzania waliokuwepo
katika ufunguzi wa michuoano hiyo
waambulia patupu baada ya alphonce simbu
kuwa wa 12 akitumia masaa 2 dakika 16 na sekunde 15.
0 maoni:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.